Ligi ikirejea tutakuwa bora zaidi - Senzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2021
Ligi ikirejea tutakuwa bora zaidi - Senzo

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa amesema Kocha Mkuu wa timu hiyo Nasreddine Nabi atatumia kipindi hiki ambacho ligi imesimama kuboresha maeneo yenye changamoto ili ligi itakaporejea kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi

Senzo amesema timu imeanza vyema msimu kwa kushinda michezo yote miwili ya kwanza, hata hivyo bado wengi hawajaridhishwa na ushindi mwembamba wanaopata

"Nafikiri jambo kubwa la kwanza ni kupata alama tatu kisha mengine yanafuatia. Nafurahi tumeweza kulifanikisha hilo, lakini tunahitaji kuongeza idadi ya mabao"

"Kocha pia ameliona hilo na litafanyiwa kazi katika kipindi hiki ambacho ligi imesimama"

"Timu inaenda Arusha tunaendelea na kambi kama kawaida, huko kocha atafanya marekebisho ya makosa madogo madogo kama hayo hasa safu ya umaliziaji

"Nafurahi kuona morali ya wachezaji ipo juu, nafikiri tutakuwa na msimu mzuri sana," alisema Senzo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’