Tutaendelea kuimarika - Kaze

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Sep 2021
Tutaendelea kuimarika - Kaze

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema lengo la kupata alama tatu dhidi ya Kagera Sugar wamelifanikisha na sasa wanahamshia mawazo yao kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Geita Gold utakaopigwa Jumamosi, Oktoba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Jana Yanga ilifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo uliopigwa uwanja wa Kaitaba

Kaze amesema wataendelea kukijenga kikosi na timu itazidi kuimarika sasa wakielekeza nguvu zao katika mchezo unaofuata

"Mechi ya kwanza ya ligi, ushindi ugenini, tunaendelea kujenga timu na tutaimarika zaidi. Mechi inayofuata inakuja  siku 3 mbele, Oct 2nd dhidi ya Geita Gold, tuko nyumbani," aliandika Kaze kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo kwa ajili ya kukamilisha maandalizi ya mchezo dhidi ya Geita Gold

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’