Bado kuna maswali kuhusu hawa jamaa?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Sep 2021
Bado kuna maswali kuhusu hawa jamaa?

Kikosi cha Yanga kilichoigaragaza Simba jana kilijumuisha wachezaji watano kutoka DR Congo, Djuma Shabani, Yannick Bangala, Jesus Moloko, Fiston Mayele na Heritier Makambo

Alikosekana Mukoko Tonombe tu ambaye anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopata kwenye mchezo wa fainali kombe la FA msimu uliopita dhidi ya Simba

Mukoko atakosa mechi nyingine mbili za ligi kuu kwani anapaswa kukosa michezo mitatu

Wale waliokuwa wanahoji kwa nini Yanga wamewekeza usajili wao DR Congo, nadhani jana wameyapata majibu

Na Yanga itaendelea kuvutia wachezaji kutoka DR Congo kwani hawa ni mabalozi wazuri huko kwao

Msimu huu Yanga imesajili WANAUME wa kazi wakati wao wamesajili WAVULANA, watapata tabu sana...!

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’