Yanga yaongoza kwa mashabiki viwanjani msimu uliopita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Sep 2021
Yanga yaongoza kwa mashabiki viwanjani msimu uliopita

Kulingana na takwimu zilizotolewa na Bodi ya Ligi, Yanga ndio klabu iliyoongoza kwa kuingiza mashabiki katika mechi zake za nyumbani katika ligi kuu msimu uliopita

Katika msimu wa 2020/21 Yanga iliingiza jumla ya mashabiki 141, 681 huku watani zao Simba wao wakiingiza mashabiki 138, 518

Takwimu hizi zinaendelea kudhihirisha kuwa Yanga ndio klabu yenye mashabiki wengi Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’