Kaze anaweza kurejea kumsaidia Nabi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2021
Kaze anaweza kurejea kumsaidia Nabi

Kocha wa zamani wa Yanga Cedric Kaze ni miongoni mwa wakufunzi wanaohusishwa na klabu ya Mtibwa Sugar

Hata hivyo zipo taarifa kuwa Yanga inaangalia uwezekano wa kumrudisha Kaze katika majukumu ya Kocha Msaidizi

Baada ya kutolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga inajipanga kuhakikisha inashinda ubingwa wa ligi kuu msimu huu pamoja na mashindano mengine yote ya ndani ambayo watashiriki

Uongozi wa Yanga una imani kubwa na kocha Nasreddine Nabi wanachofanya ni kumuongezea watu wa kumsaidia ambao tayari wana ufahamu na Yanga

Kaze aliondoshwa na Yanga mwezi March baada ya mfululizo wa matokeo ya sare

Kikosi chake kilifanya vizuri katika duru ya kwanza msimu uliopita akishinda tuzo ya kocha bora mara mbili akiiweka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi kwa muda wote aliokuwa kocha

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’