Yanga yasubiri majibu ya vipimo vya uviko-19

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2021
Yanga yasubiri majibu ya vipimo vya uviko-19

Bado mpaka sasa Yanga haijapokea majibu ya vipimo vya corona vya wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Rivers United utakaopigwa saa chache zijazo

Mwenyekiti wa DRFA, Lameck Nyambaya amesema hadi sasa bado majibu ya vipimo vya uviko-19 hayajatolewa na Serikali ya Nigeria, hata hivyo wachezaji wote wako sawa, tayari kwa mchezo huo

Katika hatua nyingine, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Saad Khimji amesema morali ya wachezaji iko juu akiwatoa hofu mashabiki wa Yanga nchini kuwa leo itakuwa siku ya furaha kwao

"Wachezaji wamepata muda wa kufanya mazoezi, wamepumzika na muda sio mrefu tunakwenda kujiandaa tayari kuelekea uwanjani. Viongozi tumejipanga, tumepewa sapoti nzuri na wenzetu tuliowakuta hapa Nigeria. Nikwambie tu tuko tayari kuipigani timu yetu na Tanzania kwa ujumla, leo litatokea jambo la kustaajabisha hapa," alisema KhimjiΒ 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’