Bosi DRFA awaahidi Mamilioni wachezaji Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2021
Bosi DRFA awaahidi Mamilioni wachezaji Yanga

Kikosi cha Yanga jioni ya kitashuka uwanjani nchini Nigeria kuiwakilisha nchi kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Huu ni mchezo wa marudiano ambao Yanga inahitaji kuibuka na ushindi wa kuanzia mabao mawili ili kutinga raundi ya kwanza

Mwenyekiti a Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) Lameck Nyambaya ameahidi kuwatuza wachezaji ambao watafunga au kutoka pasi ya bao

"Nataka mkashinde Mkoa wa Dar es Salaam na Watanzania wanataka kuona Yanga inashinda sasa nataka kuwaambia kitu"

"Kila atakayetoa pasi ya bao nina milioni yake moja na kila atakayefunga ana milioni yake moja sasa kazi kwenu kapiganeni mshinde turudi na ushindi," alisema Nyambaya

Nyambaya alisema fedha hizo watazipata hukohuko Nigeria baada ya mchezo

Mchezo utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni kwa saa za Nigeria ambapo kwa Tanzania ni sawa na Saa 12:00 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
42m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’