Yanga yacheleweshwa uwanja wa Ndege

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Sep 2021
Yanga yacheleweshwa uwanja wa Ndege

Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema timu iliwasili salama nchini Nigeria kuelekea mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili

Manara amesema timu iliwasili Nigeria majira ya saa tano usiku (saa saba Tanzania) lakini kulikuwa na usheleshaji mkubwa katika uwanja wa Ndege wa Port Harcourt

Hata hivyo amesema walitarajia kukutana na changamoto hiyo ambapo amesema baada ya kuondoka uwanja wa ndege majira ya alfajiri, wamewapa wachezaji mapumziko

"Baada ya kumaliza taratibu zote hapa uwanja wa ndege, timu imeelekea Hotelini ambapo wachezaji watapumzika mpaka saa kumi Alasiri timu itafanya mazoezi katika uwanja utakaotumika hapo kesho," alisema Manara

Yanga imetua Nigeria ikiwa na msafara wa watu zaidi ya 60 uliojumuisha wachezaji 22 ambao watakuwa na kazi moja tu, kuhakikisha mabingwa hao wa kihistoria wanapata ushindi utakaowavusha raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’