Yanga kuondoka na wachezaji 22

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2021
Yanga kuondoka na wachezaji 22

Yanga inaondoka leo kuelekea Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Kikosi kinaoncoka na msafara wa wachezaji 22 ambapo baadhi ya wachezaji, Yassin Mustafa, Mapinduzi Balama na David Bryson hawajajumuishwa kwa kuwa bado hawako 'fit'

Aidha Shabani Djuma, Fiston Mayele na Khalid Aucho nao wamebaki kwa kuwa ITC zao hazikufika kwa wakati

Wachezaji wanaosafiri

1. Djigui Diarra

2. Erick Johora

3. Ramadhani Kabwili

4. Kiwana Shomari

5. Paulo Godfrey

6. Adeyum Saleh

7. Abdallah Shaibu

8. Bakari Mwamnyeto

9. Dickson Job

10. Yannick Bangala

11. Mukoko Tonombe

12. Zawadi Mauya

13. Feisal Salum

14. Farid Mussa

15. Jesus Moloko

16. Dickson Ambundo

17. Yusufu Athumani

18. Yacouba Songne

19. Heritier Makambo

20. Saido Ntibazonkiza

21. Ditram Nchimbi

22. Deus Kaseke

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’