GSM amepania, atoa fedha kukodi Ndege

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2021
GSM amepania, atoa fedha kukodi Ndege

Mfadhili wa Yanga Ghalib Said Mohammed 'GSM' amefanikisha kupatikana kwa ndege ya kukodi ambayo itawabeba wachezaj, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki wachache kuelekea Nigeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Rivers united

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Septemba 19. Msafara wa Yanga utaondoka keshokutwa Ijumaa na utakuwa na viongozi watano pamoja na benchi lote la ufundi

Yanga inakwenda Nigeria ikiwa imejipanga kwelikweli kukwepa hujuma za aina yoyote ambazo wapinzani wao Rivers United wanaweza kufanya.

Ndege aina ya Airbus A 300 Air Tanzania itawapeleka Yanga Nigeria na itawarudisha Tanzania siku hiyohiyo baada ya mchezo kupigwa

Mashabiki wamepewa nafasi 48 kuungana na msafara huo utakaoondoka siku ya Ijumaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’