Tuna nafasi nyingine Nigeria - Aucho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Sep 2021
Tuna nafasi nyingine Nigeria - Aucho

Kiungo wa Yanga Khalid Aucho amesema pamoja na kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa, hawapaswi kukata tamaa kwani wanayo nafasi ya kupata matokeo Nigeria

Aucho ambaye hakuwa sehemu ya kikosi baada ya ITC yake kufika nje ya muda wa dirisha la usajili kwa ajili ya michuano ya CAF, amesema ana imani na kikosi wana jukumu la kuhakikisha wanayapata matokeo huko Nigeria

"Ndugu zangu twendeni tukamalize kazi Nigeria, tuna dakika nyingine 90 za kusahihisha makosa yetu, tunaweza. Naamini tunaweza," aliandika Aucho katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Yanga inahitaji kushinda angalau mabao katika mchezo wa marudiano ambao utapigwa Septemba 19 huko Nigeria

Hakuna kukata tamaa..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’