Bado nafasi ipo kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2021
Bado nafasi ipo kwa Yanga

Wanaposema mpira una matokeo ya kikatiri, kufungwa kwa Yanga nyumbani ni sehemu ya matokeo hayo

Hakuna aliyetarajia kama Yanga ingeweza kupoteza mchezo muhimu nyumbani lakini wakati mwingine ndivyo mpira ulivyo

Wachezaji walipambana kwa kadiri ya uwezo wao, kwa kiasi kikubwa walifanya kila kitu kwa usahihi jambo lililoshindikana ni kuingiza mpira nyavuni tu

Bado wana nafasi nyingine ya kupindua matokeo Nigeria, kwani kama Rivers wameweza kufunga bao hapa, Yanga pia inaweza kufunga Nigeria

Yanga ilicheza vizuri pamoja na kuwa yapo makosa ambayo wachezaji walifanya kwa nyakati tofauti

Mchezo wa leo ni nusu ya kwanza, bado nusu ya pili itakwenda kupigwa Nigeria

Yanga inahitaji kushinda mchezo huo kuweza kutinga raundi ya kwanza

Wananchi wanayo historia ya kipekee wanapocheza ugenini, tusubiri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’