Ni faraja kumuona kiungo Mapinduzi Balama anaendelea kuimarika akianza kufanya mazoezi magumu
Baada ya kuuguza majeraha kwa takribani mwaka mzima, ni suala la muda tu sasa ataanza kuonekana kikosini
Amekuwa akifanya mazoezi chini ya ungalizi wa Madaktari kuhakikisha amepona kabisa jeraha lililomkosesha kuonekana dimbani tangu mwishoni mwa msimu wa 2019/20
Mashabiki wamesubiri kwa hamu urejeo wake, sasa anakaribia kurudi...!
ADVERTISE HERE