Aucho tayari yuko Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2021
Aucho tayari yuko Avic Town

Khalid Aucho, Fiston Mayele na Djuma Shabani wamezungumzwa sana katika siku mbili hizi baada ya ITC zao kuchelewa kufika na kuwa katika hatihati ya kukosa mechi za awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Aucho alikuwa Uganda katika majukumu ya timu ya Taifa, tayari amerejea na moja kwa moja kuingia kambini kuendelea na mazoezi

Jambo moja la uhakika ni kuwa Septemba 25, yeye na wenzake watakuwepo pale uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba!

Na watakuwepo kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’