Kikosi cha Yanga Ligi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2021
Kikosi cha Yanga Ligi ya Mabingwa

Yanga inashiriki michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu wakianzia hatua ya awali dhidi ya Rivers United ya Nigeria

Mchezo wa duru ya kwanza utapigwa Jumapili, Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Yanga tayari imewasilisha majina ya wachezaji 28 ambao wataipigania Yanga kuhakikisha inatinga makundi

Orodha ambayo Yanga imewasilisha inawajumuisha makipa watatu ambao ni Diarra Djigui, Erick Johola na Ramadhan Kabwili

Walinzi ni Abdallah Shaibu ‘Ninja’, Yannick Bangala, Dickson Job, Bakari Mwammnyeto na Kibwana Shomari

Wengine ni Djuma Shaban, David Bryson, Adeyun Saleh na Paul Godfrey

Viungo ni  Mukoko Tonombe, Khalid Aucho, Feisal Salum, Zawadi Mauya, Deus Kaseke, Jesus Muloko na Farid Mussa

Washambuliaji ni Fiston Mayele, Heritier Makambo, Yacouba Songne, Said Ntibazonkiza na Yusuf Athuman

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
5h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’