Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dkt. Mshindo Msolla imeunda Kamati mpya ya Ujenzi na Miundombinu
Kamati hiyo itaongozwa na Injinia Bahati Mwaseba akiwa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni Frank Kamugisha

ADVERTISE HERE