Mukoko abaki Bangala achukua nafasi yake DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Sep 2021
Mukoko abaki Bangala achukua nafasi yake DR Congo

Jana Yanga ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Friends Rangers ambao ulipigwa Avic Town, Kigamboni

Yanga iliweza kuondoka na ushindi wa mabao 3-1 huku kiungo Mukoko Tonombe akishiriki mchezo huo akivaa kitambaa cha unahodha

Mukoko alikuwa miongoni mwa wachezaji walioitwa timu ya Taifa ya DR Congo lakini nafasi yake ilichukuliwa na Yannick Bangala kutokana na kutokuwa timamu kiafya akitoka katika majeruhi

Jana Bangala ambaye npia ni mchezaji wa Yanga, alikuwa nje katika kikosi cha DR Congo kilicholazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Tanzania

Kubaki kwa Mukoko pamoja na kurejea kikosini kwa Zawadi Mauya kunampa ahueni kocha Nasreddine Nabi ambaye anakiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’