Mauya, Kabwili warejea kambini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2021
Mauya, Kabwili warejea kambini Yanga

Wachezaji Zawadi Mauya na Ramadhani Kabwili ambao walikuwa kambini na timu ya Taifa, hawakuwa sehemu ya wachezaji 23 waliosafiri DR Congo kwa ajili ya mchezo wa kuwania tiketi ya fainali za kombe la Dunia

Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa wachezaji hao wamerejea katika kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Rivers United, hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa

Nyota hao wameingia kambini jana na hivyo kumpa ahueni kocha Nasreddine Nabi ambaye alikuwa akiwakosa wachezaji nane waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa

Wachezaji wanaokosekana kikosini sasa ni Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Feisal Salum, Mukoko Tonombe, Djigui Diarra na Khalid Aucho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’