Stars dimbani dhidi ya DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Sep 2021
Stars dimbani dhidi ya DR Congo

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko DR Congo ambako jioni ya leo majira ya saa 10 itashuka kwenye uwanja wa TP Mazembe kuwakabili wenyeji wao DR Congo katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za kombe la dunia

Tanzania imepangwa kundi J ikiwa sambamba na timu za Benin, DR Congo na Madagascar

Mchezo utakaofuata ni dhidi ya Madagascar ambao utapigwa jijini Dar es salaam Septemba 07

Vijana wa kocha Kim Poulsen walitua DR Congo juzi ambapo siku ya jana jioni walikamilisha maandalizi yao ya mwisho

Ni mchezo unaotarajiwa kuwa mgumu kila timu ikihitaji matokeo ili kujiweka vyema katika mapambano ya kuwania nafasi ya kuongoza kundi ili kutinga hatua ya pili ya mtoano

Kwani ni timu moja tu kutoka kwa kila kundi ambayo itafuzu raundi ya pili

Kila la kheri Taifa Stars...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’