Waamuzi kutoka Somalia kuchezesha Yanga vs Rivers United ligi ya mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2021
Waamuzi kutoka Somalia kuchezesha Yanga vs Rivers United ligi ya mabingwa

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limewatangaza waamuzi wanne kutoka Somalia kuchezesha mechi ya hatua ya awali ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya Rivers United itakayochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Septemba 12, kuanzia saa 11 jioni

Mwamuzi wa kati ni Hassan Mohamed Hagi ambaye atasaidiwa na Suleiman Bashir na Ali Mohamud Mahad

Mwamuzi wa akiba ni Ahmed Hassan Ahmed wote wakitoka huko Somalia

Kamishna wa mchezo huo atakuwa ni Lewis Madeleine kutoka Shelisheli huku Ofisa Vipimo wa Uviko-19 akipangwa Violet Michael Lupondo wa Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’