Tayari idadi kubwa ya Mashabiki wako uwanjani kushuhudia burudani zilizoandaliwa leo ikiwa ni siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi
Burudani zimeanza ambapo mcheza wa U20 kati ya Yanga dhidi ya Cambiaso Sport Academy unapigwa dimba la Mkapa
Nje ya uwanja mashabiki wanaendelea kuingia uwanjani pengine mageti huenda yakafungwa mapema tu kwani kuna kila dalili uwanja utafurika mapema
Burudani za wasanii zitafuatia baada ya mechi za utangulizi kumalizika
ADVERTISE HERE