Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Morocco mchana wa leo Jumatatu, kurejea jijini Dar es salaam kuendelea na maandalizi ya wiki ya Mwananchi
Wananchi wanarejea jijini Dar es salaam baada ya wiki moja ya pre-season huko Morocco
Wanarejea wakipitia Dubai ambapo kikosi kinatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam kesho Jumanne
ADVERTISE HERE