Kikosi cha Yanga kinaendelea na pre-season nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa ligi na michuano ya ligi ya mabingwa
Yanga inajifua katika kambi ambayo ina kila kitu kwa ajili ya maandalizi bora ya timu
Hii ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano Yanga inajiandaa na msimu katika kambi bora kabisa
Wanasema maandalizi bora huja na matokeo mazuri. Kuelekea msimu ujao Yanga imepata maandalizi bora, Wananchi wasubiri matokeo chanya kutokana na maandalizi hayo




ADVERTISE HERE