Yanga wamuombea Mzee Karume

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2021
Yanga wamuombea Mzee Karume

Hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mwananchi inafanyika visiwani Zanzibar leo ambapo pamoja na tukio hilo la kihistoria, tukio la kwanza lilikuwa kuzulu kaburi la Muasisi wa Zanzbar, Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Hayati Abeid Amani Karume kumuombea dua

Hayati Karume ana historia kubwa na klabu ya Yanga, tangu ilipoanzishwa mwaka 1935

Jengo la Makao Makuu ya klabu ya Yanga pale Jangwani jijini Dar es salaam, Karume aligharamia ujenzi wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’