Mukoko, Shaibu wapewa program maalum ya mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Aug 2021
Mukoko, Shaibu wapewa program maalum ya mazoezi

Kiungo Mukoko Tonombe na mlinzi wa kati Abdallah Shaibu 'Ninja' wamepewa program maalum ya kuwaimarisha kabla ya kujumuishwa katika kikosi na wachezaji wengine, imefahamika

Kumekuwa na maswali mengi kuhusu kutoonekana kwa wachezaji hao (hasa Mukoko) ambaye alionekana kikosini kwenye mazoezi ya siku ya kwanza tu, juzi nchini Morocco

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli ametoa ufafanuzi kuwa wachezaji hao wamepewa program maalum ya mazoezi baada ya kubainika kwa hawako 'fit'

"Tulipofika Morocco kocha wa viungo aliwafanyia wachezaji vipimo vya utimamu wa mwili na kubaini Mukoko na Ninja hawakuwa sawa hivyo kupewa program maalum ya mazoezi"

"Wanayanga wasiwe na wasiwasi kwani wachezaji hao wanaendelea na matibabu kutoka kwa wataalam wetu wa afya," alisema Bumbuli

Kikosi cha Yanga kinaendelea na pre-season nchini Morocco ambapo leo ni siku ya pili tangu mabingwa hao wa kihistoria walipoanza kujifua nchini humo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’