Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Kim Poulsen ametangaza kikosi cha timu ya Taifa kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo ya kuwania kufuzu fainali za kombe la Dunia 2022, zitakazofanyika Qatar
Poulsen amewajumuisha Ramadhani Kabwili, Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Feisal Salum na Zawadi Mauya
Stars itaingia kambini August 24 kujiandaa na michezo dhidi ya DR Congo na Madagascar

ADVERTISE HERE