Kikosi cha Yanga leo kimeingia siku ya pili ya pre-season nchini Morocco wananchi wakijiweka sawa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya Kimataifa
Yanga ilitua Morocco juzi na moja kwa moja kuelekea Mji wa Marrakech ambako kambi ndiko iliko
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said amesema wameanza vyema maandalizi yao, wachezaji wakifurahia kambi hiyo

ADVERTISE HERE