Yassin Mustafa amerejea akiwa imara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Aug 2021
Yassin Mustafa amerejea akiwa imara

Baada ya kukosekana takribani miezi minne ya mwisho msimu uliopita, mlinzi wa kushoto wa Yanga Yassin Mustafa, amerejea kikosini akiwa kamili

Yassin ni miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye kikosi cha Yanga kinachoendelea na pre-season nchini Morocco

Yuko sambamba na walinzi wengine wa kushoto Adeyum Saleh na David Bryson

Msimu uliopita, Yassin alikuwa chaguo la kwanza kwenye safu ya ulinzi upande wa kushoto kabla ya kupata majeraha ambayo yalimpatia nafasi Adeyum kumaliza msimu

Kiwango alichoonyesha Adeyum kilimvutia kocha Nasreddine Nabi na hivyo akapendekeza mlinzi huyo aongezwe mkataba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’