Yanga kuanza na Rivers United Ligi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Aug 2021
Yanga kuanza na Rivers United Ligi ya Mabingwa

Droo ya hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika nchini Misri ambapo Yanga imepangwa kuanza na Rivers United ya Nigeria

Mchezo wa kwanza utapigwa jijini Dar es salaam kati ya Septemba 10-12 2021 na mchezo wa marudiano kupigwa nchini Nigeria kati ya Septemba 17-19 2021

Yanga imepania kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo msimu huu

Ikifanikiwa kuvuka hatua hii, Yanga itakutana na mshindi wa mchezo kati ya Fasil Kenema SC ya Ethiopia dhidi ya Al Hilal ya Sudan

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’