Mouloudia Oujda wanamtaka Mukoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2021
Mouloudia Oujda wanamtaka Mukoko

Klabu ya Mouloudia Oujda inayoshiriki ligi kuu ya Morocco imewasilisha ofa Yanga kumtaka kiungo Mcongomani Mukoko Tomombe

Juzi wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kuuzwa kwa winga Tuisila Kisinda, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said alidokeza walikuwa na ofa nyingine kwa ajili ya wachezaji Mukoko na Yacouba Songne

Hata hivyo haitakuwa rahisi kwa Yanga kuwauza wachezaji hao hasa baada ya kuridhia kumuuza Kisinda

Katika dirisha hili la usajili, Yanga imesajili wachezaji wenye uzoefu wa michuano ya Kimataifa, kuungana na akina Mukoko ambao pamoja na kuwa na uzoefu wa Kimataifa, tayari wamepata uzoefu wa ligi ya ndani

Mukoko atakuwa msaada mkubwa hasa kwa wachezaji waliosajiliwa kutoka DR Congo kupata uzoefu wa ligi ya Tanzania kwa haraka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’