Wiki ya Mwananchi ni August 29

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2021
Wiki ya Mwananchi ni August 29

Lile tukio kubwa la utambulisho wa kikosi, Wiki ya Mwananchi kilele chake ni August 29 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam

Kikosi cha Yanga kitaondoka nchini Jumapili, August 15 kuelekea Morocco kuweka kambi ya maandalizi kwa ajili kukiandaa kikosi kwa ajili ya tukio hilo muhimu na maandalizi ya msimu mpya wa ligi na michuano ya Kimatafa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Yanga itakuwa Morocco kwa siku 11, wakitarajiwa kuanza mazoezi August 16

Yanga itapaa Morocco ikiwa na kikosi cha wachezaji 28, ambao wote wamesajiliwa kwa ajili ya michuano mbalimbali ya msimu ujao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
57m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’