Yanga kufunga usajili na wawili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2021
Yanga kufunga usajili na wawili

Dirisha la usajili kwa ajili ya michuano ya ligi ya CAF litafungwa August 15, siku ya Jumapili

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema watakamilisha usajili kwa kutambulisha wachezaji wawili wa Kimataifa

Bumbuli amewataka Wanachama na Mashabiki wa Yanga wakae tayari kwani wakati wowote nyota hao watatambulishwa

Tetesi zinazovuma, wachezaji hao ni mlinzi wa kati Yannick Bangala Litombo na winga Jesus Moloko

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’