Klabu ya Yanga imetambulisha usajili wa mlinda lango Erick Johora
Johora anatua Yanga akitokea klabu ya Aigle Noir ya Burundi
Huyu ni Mtanzania kutoka mkoani Shinyanga ambaye ubora wake ulimpa nafasi na kukubalika Burundi bila ya kupita timu kubwa za ligi kuu hapa Tanzania
Karibu Erick Johora..!
ADVERTISE HERE