Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Almasi Kasongo ametangaza kuwa msimu mpya wa ligi kuu 2021/22 utaanza Septemba 29 2021
Aidha uzinduzi wa msimu huo utafanyika Septemba 25 kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Kasongo amesema watatoa ratiba kamili baada ya kukamilisha mchakato wa upangaji wake
ADVERTISE HERE