Huyu Aucho ni mtu kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2021
Huyu Aucho ni mtu kwelikweli

Kiungo wa Kimataifa wa Uganda Khalid Aucho mara kadhaa ametajwa kuwa katika mipango ya kocha Nasreddine Nabi

Wiki iliyopita Aucho aliachana na klabu ya Makasa inayoshiriki ligi kuu ya Misri

Ni kiungo mkabaji mwenye uzoefu mkubwa na soka la Kimataifa

Amewahi kusakata kabumbu Ulaya, Afrika Kusini, Kenya na klabu yake ya mwisho ni Makasa, Misri

Jana zilivuma tetesi kuwa watani walimleta nchini kwa ajili ya kumalizana nae lakini mpaka sasa jambo hilo halijatokea

Kuna kiti kiliwekwa kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii mpaka sasa bado kiko wazi!

Na huku Wananchi wakisema leo wana jambo lao kubwa ambalo litaisimamisha nchi

Je ni yeye? Tusubiri...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’