Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela akiwa sambamba na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said leo wameshiriki uzinduzi wa Tawi la Yanga liitwalo Bonyokwa Canada, Tabata jijini Dar es salaam
Wanachama wa Tawi hilo pamoja na mashabiki wa Yanga Tabata, walishiriki uzinduzi huo





ADVERTISE HERE