Mukoko afungiwa mechi tatu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2021
Mukoko afungiwa mechi tatu

Kikao cha Kamati ya Mashindano kilichokutana Julai 27, kilipitia taarifa za mchezo wa fainali kombe la Shirikisho uliochezwa Julai 25 katika uwanja wa Lake Tanganyika

Adhabu mbalimbali zimetolewa kulingana na matukio mbalimbali yaliyojiri katika mchezo huo

Miongoni mwa adhabu hizo zipo adhabu za faini kwa Yanga na kufungiwa kwa kiungo Mukoko Tonombe ambaye alitolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye mchezo huo baada ya kumpiga kiwiko John Bocco wa Simba

Mukoko amefungiwa michezo mitatu ya mashindano na adhabu ya kulipa fainali ya Tsh laki tano

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’