Johola ajumuishwa kikosi cha Yanga Kagame Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jul 2021
Johola ajumuishwa kikosi cha Yanga Kagame Cup

Kikosi cha Yanga kinarejea kambini leo kuanza maandalizi ya michuano ya kombe la Kagame itakayoanza keshokutwa Jumapili, August 01 jijini Dar es salaam

Wachezaji 23 wanatarajiwa kushiriki mashindano hayo makubwa kwa ngazi ya klabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

Katika kikosi kitakachoingia kambini, kutakuwa na wachezaji watatu wapya,  wachezaji saba kutoka kikosi cha kwanza na wachezaji 13 kutoka timu ya vijana

Nyota wapya waliojumuishwa katika kikosi hicho ni pamoja na mlinda lango Erick Johola aliyesajiliwa kutoka klabu ya Aigle Noir ya kule Burundi. Johola ni Mtanzania aliyekuwa akisakata kabumbu Burundi

Wengine ni mlinzi wa kushoto David Bryson kutoka KMC na winga Dickson Ambundo aliyetua kutoka Dodoma Jiji

Pia yumo Juma Mahadhi aliyekuwa akicheza kwa mkopo klabu ya Ihefu Fc

Hiki hapa kikosi kamili

1. Ramadhani Kabwili

2. Geofrey Magaigwa (U20)

3. Erick Johola (Aigle Noir)

4. Paulo Godfrey

5. Said Mashoto (U20)

6. Dickson Job

7. Rollang Msonjo (National U23)

8. Ally Said (U20)

9. Omary Chibada (U20)

10. James Gubes (U20)

11. Best Kahemela (U20)

12. Waziri Junior

13. Abby Mikimba (U20)

14. Abdulkarim Yunus (U20)

15. Zawadi Mauya

16. Mukoko Tomombe

17. Said Kwangala(U20)

18. Mohammed Msenda (U20)

19. Dickson Ambundo (Dodoma Jiji)

20. David Bryson (KMC)

21. Abdallah Shaibu

22. Juma Mahadhi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’