Yanga itanza kampeni ya michuano ya kombe la Kagame kwa kuwakabili mabingwa wa ligi kuu ya Uganda, Express katika mchezo ambao utapigwa August 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mchezo wa pili utapigwa August 04 dhidi ya Nyasa Big Bullets hapo hapo katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Timu itakayomaliza nafasi ya kwanza katika kila kundi itatinga nusu fainali huku timu moja ikienda nusu fainali kwa nafasi ya 'best looser'
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuingia kambini Ijumaa, kujiandaa na michuano hiyo
ADVERTISE HERE