Tumeumia, tutarejea tukiwa imara zaidi - Senzo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jul 2021
Tumeumia, tutarejea tukiwa imara zaidi - Senzo

Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa, ameeleza machungu aliyopata baada ya kupoteza mchezo wa fainali kombe la Shirikisho dhidi ya Simba hapo jana

Hata hivyo Senzo amesema anafarijika kuwa katika klabu ya Yanga na ushirikiano aliopata, unampa ujasiri wa kuendelea kupambana kuelekea msimu ujao

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Senzo ameandika ujumbe huu;

"Isingekuwa SOKA kama haingekuwa na athari katika maisha yangu. Nimecheka na kufurahi wakati nilikuwa upande wa kushinda, niliumia na nikakata tamaa wakati ninafungwa"

"Lakini, ninapotafakari juu ya hisia hizi na kujua kuwa niko nyumbani na Wananchi, ninafarijika na kupata moyo kuendelea na kufanya kilicho bora zaidi msimu ujao"

"Imekuwa msimu wa ukuaji na maendeleo. Katika nyakati nzuri na mbaya, ninabaki Mwananchi. Asante kwa mashabiki wetu na wadhamini (Sportpesa, GSM Tanzania, Azam Tv, Taifa Gesi, Afya)"

"Asante kwa wachezaji na benchi la ufundi kwa juhudi na kujitolea kwao kwa Yanga Sc Kwa wenzangu katika operesheni, Tulijitahidi sana"

"Kwa Viongozi wetu wote na mnaotutakia kheri, asante. Tunarudi kuendelea na kazi na kwa bahati nzuri hatuanzi kutoka sifuri, tunaanza pale tulipoishia msimu huu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
20m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’