Baada ya mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kikosi cha Yanga kimeondoka Kigoma kurejea jijini Dar es salaam
Uongozi wa Yanga unatarajiwa kutoa taarifa baada ya kumalizika kwa msimu na mikakati ya kuelekea msimu ujao

ADVERTISE HERE