Viongozi waandamizi wa Yanga wakiongozwa na Mwenyekiti Dk Mshindi Msolla, Makamu mwenyekiti wa kamati ya mashindano na Mjumbe wa Kamati ya Mabadiliko Eng. Hersi Said, Mkuu wa Msafara ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji Haruna Batenga, walishiriki tukio la uzinduzi wa Tawi la Yanga, Mwandiga






ADVERTISE HERE