Kagame Cup kuanza August 01

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2021
Kagame Cup kuanza August 01

Shirikisho la vyama vya soka Afrika Mashariki (CECAFA) limethibitisha kuwa Michuano ya klabu Bingwa Afrika ya Mashariki na Kati maarufu Kagame Cup itafanyika jijini Dar es salaam kuanzia 1/8/2021 mpaka 15/8/2021

Yanga ni miongoni mwa timu zilizothibitisha kushiriki michuano hiyo ambayo itawasaidia katika maandalizi kuelekea msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara pamoja na michuano ya ligi ya Mabingwa barani Afrika

CECAFA imezitaja timu nyingine zilizothibitisha zitashiriki ni pamoja na Azam Fc (Tanzania), Altabara(Sudani Kusini), Ngozi (Burundi), APR (Rwanda) na Tusker Fc (Kenya)

Nyingine ni Express, KCCA (Uganda), KMKM (Zanzibar) na Big Bullets (Malawi)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’