Lamine arejeshwa kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jul 2021
Lamine arejeshwa kikosini

Nahodha wa Yanga Lamine Moro, amerejeshwa kikosini baada ya kumaliza changamoto na benchi la ufundi

Lamine hajaonekana uwanjani tangu mwishoni mwa mwezi wa nne baada ya kutokea sintofahamu na kocha Nasreddine Nabi wakati Yanga ikijiandaa na mchezo dhidi ya Namungo mkoani Mtwara

Nyota huyo akarejeshwa jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine, aliendelea na matibabu ya jeraha la nyama za paja ambalo humsumbua mara kwa mara

Jana Yanga pia ilithibitisha kumrejeshwa kundini mshambuliaji Michael Sarpong ambaye pia alikuwa amesimamishwa kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu

Wananchi wamepania kumaliza msimu kibabe, hesabu zikielekezwa mchezo wa fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa Julai 25 mkoani Kigoma

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’