Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mlinzi wa kushoto wa Yanga Yassin Mustafa
Mustafa amekuwa na mwanzo mzuri katika kikosi cha Yanga kabla ya kupata majeraha yaliyomuweka nje kwa zaidi ya wiki 10
Habari njema ni kuwa mlinzi huyu mahiri amerejea kikosini wiki iliyopita na hakuna shaka Wananchi watamshuhudia katika baadhi ya mechi zilizobaki kufunga msimu
Ni siku ya kumbukumbu muhimu kwake, tunamtakia kila la kheri
HAPPY BIRTHDAY YASSIN..!
ADVERTISE HERE