Shauri la Morrison ushahidi ulishawasilishwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jul 2021
Shauri la Morrison ushahidi ulishawasilishwa

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kuwa tayari wamewasilisha ushahidi wa kesi dhidi ya mchezaji Bernard Morrison na kinachosubiriwa sasa ni kutolewa hukumu kwa kesi hiyo

Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa Michezo (CAS) inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi hiyo kabla ya mwezi huu kumalizika

Mapema wiki hii katika mahojiano na Azam TV, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli alitamba kuwa Yanga itakuwa bingwa msimu huu na jambo hilo litatokea kabla ya Julai 25 siku ya mchezo wa fainali kombe la FA

"Tuna michezo miwili kukamilisha msimu, Julai 14 tutacheza na Ihefu Fc na Julai 18 Dodoma Jiji, tunahitaji kushinda mechi zote mbili. Naamini tutakuwa mabingwa msimu huu, tena jambo hilo litatimia kabla ya mchezo wa fainali ya FA," alitamba Bumbuli

Inaelezwa kesi hiyo itatolewa maamuzi na CAS Julai 22 na Jaji kutoka nchini Uingereza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’