Uongozi wa klabu ya Yanga umewashukuru Wadhamini, Wanachama, Mashabiki pamoja na wadau wote kwa kufanikisha Mkutano Mkuu uliofanyika Juni 27, 2021
Aidha Yanga imewashuku Wanachama na Mashabiki wake kwa mshikano walioonyesha kwenye mchezo dhidi ya Simba, mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE