Alhamisi ya wiki hii, Julai 08 2021 pale Serena Hotel klabu ya Yanga na Azam Media, wana jambo lao
Ni majira ya saa nne asubuhi ambapo kutakuwa na jambo kubwa litawekwa hadharani
Siku ya Mkutano Mkuu ambao Wanachama wa Yanga waliutumia kupitisha Mabadiliko, Azam Media walidokeza dili hiyo kubwa yenye manufaa kwa klabu ya Yanga
Mambo ynaendelea 'kunoga' Jangwani...!
ADVERTISE HERE