Kuelekea mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa kesho Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia sasa jezi halisi za Yanga zinapatikana kwa bei ya punguzo
Ni katika maduka yote ya Gsm Msasani Mall, Max Aura Mall, Salamander Tower Kwa 20,000/-
Pia utazipata kesho nje ya Uwanja wa Mkapa Geti D la Yanga
Ofa hii ni kuanzia leo mpaka Jumamosi ya kesho saa moja usiku. Ofa inahusisha jezi ya msimu huu ya nyumbani na ugenini tu
ADVERTISE HERE