Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Mahakamani Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi
Viongozi hao wameitwa kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe
Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi
ADVERTISE HERE